Mshambuliaji
wa KRC Genk, Mbwana Samatta ametupia mtandaoni picha akiwa pamoja na
viungo wawili nyota zaidi hasa wakati huo, Haruna Moshi ‘Boban’ na Salum
Abubakarr ‘Sure Boy’.
Samatta ametupia picha hiyo akionyesha kumbukumbu ya wakati huo, kwa pamoja walikuwa wakiitumikia Taifa Stars.
Bila
ya kujali walivyofanikiwa, watatu wote ni kati ya wachezaji wenye
vipaji vya zawadi ya Mungu ambavyo Tanzania imewahi kuzawadiwa.


Hakuna maoni :