SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / KLABU AFRIKA: YANGA YAPETA KIGALI, JKU YANYUKWA KAMPALA.

CAF-CHAMPIONZLIGIMABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga, wameanza vyema Mechi ya kwanza ya Raundi ya kwanza ya CAF CHAMPIONZ LIGI kushinda 2-1 Ugenini huko Kigali, Rwanda kucheza nawalipocheza na APR.

Bao za Yanga zilifungwa kila Kipindi na Juma Abdul na Thaban Kamusoko na lile la APR kufungwa Dakika za Majeruhi na Patrick Sibomana.

Timu hizi zitarudia baada ya Wiki mbili na Mshindi kucheza na Mshindi kati ya Recreativo de Libolo ya Angola na Al Ahly ya Misri ambao Leo walitoka Sare 0-0 huko Angola.

Huko Kampala, JKU ya Zanzibar ilinyukwa 4-0 na Sports Villa katika Mechi ya kwanza ya CAF Kombe la Shirikisho. 

RATIBA/MATOKEO:
**Saa za Bongo.
CAF CHAMPIONS LEAGUE
ZESCO United FC 4 Horoya Athlétique Club 1   
Armee Patriotique Rwandaise FC 1 Young Africans 2  
Recreativo de Libolo 0 Al Ahly 0  
19:00 Club Africain v MO Bejaia 
19:00 Al-Ahli Tripoli v Al-Hilal     
20:30 Kaizer Chiefs v ASEC Mimosas Abidjan  
20:30 Stade Malien de Bamako v Coton Sport FC      
21:15 Mamelodi Sundowns v AC Leopards de Dolisie 
22:45 Wydad Athletic Club v Cnaps Sports  
    
CAF KOMBE LA SHIRIKISHO
Sports Villa – Uganda 4 JKU – Zanzibar 0
Stade Gabesien – Tunisia 2 AS DU Kaloum Star – Guinea 1  
Harare City – Zimbabwe 1 Zanaco – Zambia 2 
16:00 Atheletico Olympic – Burundi v CF Mounana - Gabon  
17:00 G.D. Sagrada Esperança - Angola v Grupo Desportivo Maputo - Mozambique
17:30 Vita Club De Mokanda – Congo v Police FC - Rwanda 
17:50 Renaissance - Chad v ES Tunis - Tunisia          
19:00 Africa Sports - Ivory Coast v Enppi - Egypt      
19:00 Bidvest Wits - South Africa v Azam FC - Tanzania       
19:00 Misr Almaqasa – Egypt v SC Don Bosco - Congo, DR  
20:00 MC Oran – Algeria v SC Gagnoa - Ivory Coast  
21:00 Kawkab Athletic Club Marrakech – Morocco v Barrack Young Controllers FC - Liberia

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply