• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / MAGUFULI Tupatie Mashamba Tukalime Baba, Juzi Umeagiza Tukamatwe, Tupelekwe Kambini Tulime Kwa Lazima.

MAGUFULI tupatie mashamba tukalime baba, jana umeagiza tukamatwe, tupelekwe kambini tulime kwa lazima.

Hakuna haja ya kukamatwa baba, tupatie tu mashamba tutalima wenyewe, kule vijijini kila pori tunalogusa tunaambiwa la ‪#‎MWEKEZAJI‬, kila shamba tunaloliona tunaambiwa la ‪#‎MHESHIMIWAFULANI‬.

Hakuna mashamba ya wazi baba, hata serikali imegawa mashamba yake kwa ‪#‎WADOSI‬.
Tusaidie pia na vitendea kazi, hata majembe ya ‪#‎NGWAMBA‬ tu baba. Mbolea Na umwagiliaji tutamwachia tu ‪#‎MUNGU‬ ataleta neema zake baba.

waangalie na TIB na Benki ya Kilimo baba kama mikopo yao inawafaa vijana unaowakurupusha leo!... Benki zako zinawafaa zaidi wazee kukopa kuliko sisi vijana baba.
Tafadhali sana baba usitufukuze tu bila kujua tutakapoelekea

By Habibu Mchange

«
Next
KABURU AKUBALI KUUCHEZA MZIKI WA MAYANJA, AELEZA UONGOZI SIMBA UTAKACHOFANYA.
»
Previous
HIVI NDIVYO ATLETICO MADRID ILIVYOTINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA KWA KUINGOA PSV KWA PENALTI 8-7.

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply