• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / MMILIKI WA LEICESTER CITY ATUA MAZOEZINI NA HELKOPTA KUWASHUKUDIA VIJANA WAKE.


Huku Leicester ikiwa inaenda ukingoni mwa Ligi Kuu ikiwa na matumaini makubwa ya kubeba ubingwa, Mwenyekiti na mmiliki wake Aiyawatt Srivaddhanaprabha ametua katika mazoezi ya timu hiyo akitumia usafiri wa helkopta.

Mwenyekiti huyo raia wa Thailand alifika mazoezi na kushuhudia vijana wake wanavyojifua kabla ya kufanya mazungumzo mafupi na Kocha Claudio Ranieri.


Leicester ndiyo yenye nafasi kubwa ya kubeba ubingwa wa England na imebakiza mechi tano tu na kama watashinda mbili, basi inaonekana itakuwa vigumu kuwazuia tena kuwa mabingwa.

Leicester wako kileleni wakiwa na pointi 72, wanafuatiwa na Tottenham yenye pointi 65 halafu Arsenal katika nafasi ya tatu ikiwa na pointi 59.














«
Next
SERIE A: JUVENTUS KUIVAA PALERMO WAKIELEKEA KUBEBA TAJI.
»
Previous
AJIB ANAAMINI, KAMWE YANGA HAINA UBAVU WA KUIZUIA SIMBA KUBEBA UBINGWA BARA.

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply