• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Alichokiongea Waziri Nchemba Baada yakufika Eneo Walipouwawa Askari Polisi Dar.

Tukio la kuwawa kwa Askari Polisi wanne katika shambulio lililofanywa na watu wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi usiku wa August 23 2016 zimeendelea kuchukua headline ambapo safari hii Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba alifika eneo la tukio ambapo pia Ayo TV ilipata nafasi ya kufanya naye mahojiano.

Waziri Nchemba amesema…
’Kumetokea shambulio la uvamizi lenye nia ya uovu ambalo limeua askari wanne, vijana wamefika na wataendelea na msako kuhakikisha waharifu wote wametiwa nguvuni‘
‘Tukio lilitokea majira ya saa moja na nusu usiku ambapo bado uchunguzi unaendelea na taarifa kamili itatolewa na Jeshi la Polisi, kifupi ni kwamba shambulio lilifanywa kwa kutumia usafiri wa pikipiki na niwakati vijana wakibadilishana lindo lakini niwahakikishie wananchi kuwa watuhumiwa wote watatiwa hatiani‘ –Waziri Mwigulu Nchemba

«
Next
BAADA YA KIPIGO MWANZA, JULIO ASEMA UWANJA WA KIRUMBA UNAFAA KWA MECHI ZA NG'OMBE.
»
Previous
KUMBE TFF ILIWAPA AZAM FC KOMBE FEKI, SASA KUPEWA ORIGINAL.

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply