SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Lowassa Azizima Mikumi. Prof Jay Ubunge Tayari...Kesho DAR Kufunikwa na Mafuriko ya Lowassa



Leo Lowassa amefanya mikutano mitano. Mlimba, Ifakara, Mikumu/Ruaha, Chalinze na Kibaha. Pote Lowasaa ametikisa kwa nafuriko ya balaa kama iilivyo kawaida yake. Amehitimisha kampeni za mikoani na kesho atazizima jijini dsm kwa mkutano wa kihistoria ambao watu nusu milioni wanakadiriwa kuhudhuria. Picha zifuatazo ni Mikumi kwa Prof Jay.

Tukutane kesho uwanja wa nyumbani Jangwani ambapo leo Magufuli ameshindwa kufikia rekodi zetu tuliyoweka wakat wa Ufunguzi wa Kampeni pamoja na mabasi zaidi ya 50 ya kampuni ya UDA kufanya kazi ya ziada kupita jiji lote kusomba watu. Kesho tunawapoteza kabisa.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply