SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / CHALENJI YAMCHELEWESHA KIONGERA KUREJEA MSIMBAZI, LAKINI....


Straika hatari wa Simba, Paul Kiongera, amelazimika kushindwa kufika kwa wakati uliopangwa katika timu hiyo licha ya kupatiwa tiketi, kufuatia kuitumikia timu yake ya taifa, Harambee Stars ya Kenya kwenye michuano ya Chalenji.

Kiongera alitakiwa kuwasili nchini wiki iliyopita ambapo tayari ameshatumiwa tiketi kwa ajili ya kutua nchini kujiunga na kikosi hicho.
Chanzo kutoka Simba kimeeleza kuwa, Kiongera atatua nchini mara tu baada ya kumalizika kwa michuano ya Chalenji inayofanyika Ethiopia.
“Kiongera alitakiwa kutua nchini tangu wiki iliyopita kwa ajili ya kujiunga na kikosi kuendelea na mazoezi ili kuongeza nguvu katika timu hiyo.

“Kilichokuja kutibua katikati ni michuano ya Chalenji, hivyo kusababisha ratiba yake ya kuja huku nchini kuvurugika hadi itakapofikia tamati,” kilisema chanzo hicho.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply