SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / CANNAVARO, MWINYI WAREJEA DAR, WAJIUNGA NA YANGA NA KUANZA MAZOEZI


Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub Cannavaro, leo amerejea na kujiunga na kikosi hicho.


Cannavaro sambamba na Haji Mwinyi wamejiunga na kikosi cha Yanga wakitokea Ethiopia walipokwenda kushiriki michuano ya Chalenji wakiitumikia Zanzibar.

Cannavaro amesema michuano haikuwa mizuri upande wao, lakini sasa wamerejea Yanga na nguvu zao zote wanazielekeza upande huo.

“Sasa tumerejea katika klabu yetu, nguvu na akili zote ni hapa kwa ajili ya ligi kuu na michuano mingine,” alisema Cannavaro.


«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply