SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / LA LIGA: DEPO YAITOA NISHAI BARCA, YAMWAGA UONGOZI 2-0


BARCA-MESSI-BAO-DEPONOU CAMP Leo iligeuka kutoka chereko na kuwa huzuni baada ya Vinara wa La Liga kuongoza 2-0 hadi Dakika ya 77 na kuiruhusu Deportivo La Coruna kuambua Sare ya 2-2.

Licha ya matokeo haya Barca, ambao ndio Mabingwa Watetezi, bado wapo kileleni wakiwa na Pointi 37 baada ya Mechi 15 wakifuatiwa na Atletico Madrid wenye Pointi 32 kwa Mechi 14 na Real Madrid Pointi 30 kwa Mechi 14.

Barca waliongoza 1-0 hadi Mapumziko kwa Frikiki safi ya Lionel Messi ya Dakika ya 39 na Ivan Rakitic kupiga Bao la Pili Dakika ya 62 kwa mzinga mkali.

Deportivo La Coruna walizinduka na kufunga Bao zao Dakika za 77 kupitia Martinez Lucas Perez na Dakika 86 kwa Bao la Alex Bergantinos.

VIKOSI:
Barcelona: 13-Bravo, 6-Dani Alves, 3-Piqué, 14-Mascherano, 18-Alba, 4-Rakitic, 5-Busquets, 8-Iniesta, 10-Messi, 09-Suárez, 19-Ramírez
Akiba: 1-Ter Stegen, 15-Bartra, 17-Munir, 20-S Roberto, 21-Adriano, 23-Vermaelen, 24-Mathieu.

Deportivo La Coruna: 1-Lux, 15-Sanabria Ruiz, 14-Arribas, 12 da Silva Junior, 3-Navarro Corbacho, 11-Juanfran, 4-Bergantiños García, 19-Fajr, 16-Correia Pinto, 20-Rodríguez Portillo, 7-Pérez Martínez
Akiba: 25-Manu Fernandez, 6-Cani, 8-Medunjanin, 10-Juan Dominguez, 21-Luis Alberto, 23-Lopo, 30-Cardoso.

LA LIGA
Ratiba/Matokeo:
**Saa za Bongo
Jumamosi Desemba 12
FC Barcelona 2 Deportivo La Coruna 2
2015 Celta de Vigo  v RCD Espanyol
2015 Levante v Granada CF
2230 Sevilla FC v Sporting Gijon
0005 Las Palmas v   Real Betis
Jumapili Desemba 13
1400 Rayo Vallecano v Malaga CF
1800 SD Eibar v Valencia C.F
2015 Atletico de Madrid v Athletic de Bilbao
2230 Villarreal CF v Real Madrid CF

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply