SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / BAO LA MTIBWA DHIDI YA AZAM NDIYO GUMZO LEO MTANDAONI



Bao la Mtibwa Sugar walilofunga katika dk 10 za mwisho za mechi yao dhidi ya Mtibwa Sugar katika michuano ya Mapinduzi, ndiyo gumzo zaidi katika mitandao leo.

Bao Hilo lilifungwa na Ramadhani Kichuya na mwamuzi msaidizi akainua kibendera kuonyesha mfungaji kabla aliotea, ingawa mazingira yote yalipingana na mwamuzi huyo.

Kutokana na hali hiyo, mashabiki wa soka wamekuwa wakilijadili bao hilo, wengi wakionekana kupinga kwamba kuna walakini lakini wako wanaoamini mwamuzi alikuwa sahihi.

Mjadala umekuwa mpana zaidi katika makundi mengi ya wapenda soka, wakibishana na kujadiliana kwamba kipi ni sahihi au si sahihi.

Mechi hiyo iliisha kwa sare ya bao 1-1 huku Mtibwa Sugar ikionyesha soka safi na la kuvutia ingawa ilishindwa kuibuka na ushindi.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply