SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / BENITEZ ATOA SHUKURANI, AWAAGA WACHEZAJI, MASHABIKI MADRID AMTAKIA KILA LA KHERI ZIDANE




Kocha wa zamani wa Real Madrid, Rafa Benitez ameandika ujumbe mrefu kuwashuruku Real Madrid kwa kumpa nafasi ya kuwa kocha wa timu hiyo kwa muda wa miezi sita na ushee.

Benitez amewashukuru mashabiki, viongozi na wachezaji pia kwa kumuunga mkono kwa kipindi chote alichokuwa Madrid kabla ya kutupiwa virago na nafasi yake kupewa Zinedine Zidane ‘Zizzou’.

“Kama mtu niliyekulia katika mji wa Madrid, shabiki wa Madrid lilikuwa jambo kubwa na la kujivunia kupata nafasi ya kuifundisha klabu hii.


“Naondoka lakini niwatakie kila la kheri katika kuiendeleza, pia nimtakie kila la kheri Zidane na benchi zima la ufundi,” ilieleza sehemu ya taarifa hiyo ya Benitez.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply