SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Hivi Ndivyo Zitto Kabwe Alivyosimamisha Bunge Baada ya Kutoa Hoja ya Kupinga Kutokuonyesha Vipindi vya Bunge.

Zitto Kabwe
ZITTO KABWE ALISIMAMISHA BUNGE.Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe amelisimamisha Bunge kuanzia Saa tano asubuhi mpaka saa kumi jioni.Baada ya kutoa Hoja ya kumpinga uamuzi wa serikali wa TBC 1 kutokuonyesha vipandi vya Bunge.Hoja ambayo ilitolewa na Waziri Nape Nnauye;ndipo Zitto Kabwe akasimama na kuitaka Serikali iondoe hoja Hiyo Kwani TBC 1 ni shirika la Umma ambalo linaendeshwa kwa kodi za Wananchi.Zitto Kabwe ameungwa mkono na 70% ya Wabunge wote.Hivyo Serikali inatakiwa ije majibu.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply