SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / UBWA, CHANONGO HAOOOOOOOOO NDANI YA PIGA KWENDA ZAO TP MAZEMBE



Beki wa Stand, Abuu Ubwa na mshambuliaji wa timu hiyo, Haruna Chanongo wakiwa ndani ya ndege kwenda mjini Lubumbashi nchini Dr Congo.


Wakiwa huko wanatarajia kufanya majaribio ya wiki mbili katika kikosi cha TP Mazembe na kama wakifuzu, basi wanalamba mkataba saaafi.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply