SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / MBEYA CITY YAONGEZA POINTI TATU IKIITULIZA STAND UNITED KWA KUITWANGA MABAO 2-0.




Mbeya City imepata ushindi wake wa sita katika Ligi Kuu Bara baada ya kuishinda Stand United kwa mabao 2-0.

Katika mechi hiyo kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya, wenyeji Mbeya City walikwenda mapumziko wakiwa wanaongoza kwa bao moja lililofungwa na Raphael Alfa.

Kipindi cha pili waliongeza bao jingine kupitia beki wake Ramadhani Shamte na kuwapunguza kasi Stand United waliokuwa wakipambana kusawazisha.


Kwa ushindi huo, Mbeya City sasa wamefikisha pointi 24 na kupanda hadi nafasi ya nane wakitoka nafasi ya 10.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply