SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / SUTI ZA AZAM FC ZIMEKUWA GUMZO, NI ZILE WAKATI WANAONDOKA KWENDA SAUZ.

Azam FC wameondoka kwenda Afrika Kusini kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho na wataivaa Bidvest Wits ya Afrika Kusini. Gumzo kubwa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari ni suti walizovaa ambazo zinawaonyesha kuwa nadhifu utafikiri zile dizaini na Real Madrid,  Chelsea, Man United, Arsenal, Barcelona na timu nyingine kubwa zinapokuwa zinasafiri.













«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply