SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / VPL: SPORTS YAICHAPA MBEYA CITY, YAJIKWAMUA MKIANI IKIWAACHA COASTAL HUKO.


Matokeo:
Jumatatu Machi 14
African Sports 2 Mbeya City 0

VPL-SIT-LOGOBAO 2 za Issa, Leo zimewapa African Sports ushindi wa 2-0 walipocheza na Mbeya City huko Mkwakwani, Tanga katika Mechi pekee ya VPL, Ligi Kuu Vodacom.

Bao zote hizo zilifungwa Kipindi cha Pili na kuifanya Sports ijikwamue kutoka mkiani na kuwashusha Mahasimu wao wakubwa wa Jijini Tanga Coastal Union washike mkia.

Baada ya Mechi 23 kwa kila Timu, African Sports wapo Nafasi ya 15 wakiwa na Pointi 20 na Coastal wapo Nafasi ya 16 ambayo ni ya mwisho wakiwa na Pointi 19.

Mbeya City wamebaki palepale Nafasi ya 9.
VPL inaongozwa na Simba waliocheza Mechi 23 na wana Pointi 54, wakifuata Yanga wenye Pointi 50 kwa Mechi 21 na ya 3 ni Azam FC yenye Pointi 47 kwa Mechi 20.

LIGI KUU VODACOM                             
Ratiba:
Jumatano Machi 16
Azam FC v Stand United
Ijumaa Machi 18
Kagera Sugar v Mtibwa Sugar
Jumamosi Machi 19
Coastal Union v Simba
Majimaji v Mbeya City
Stand United v Ndanda
Jumapili Machi 20
African Sports v Tanzania Prisons
Jumatatu Machi 21
Mgambo JKT v Toto Africans
Jumanne Machi 22
Mtibwa Sugar v Azam FC

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply